Leonardo Dicaprio |
MCHEZAJI sinema maarufu Marekani, Leonardo Dicaprio amechanga dola milioni 1 (zaidi ya sh. bilioni 2.2) kwa ajili ya wahanga wa kimbunga na mafuriko yaliotokea nchini Marekani.
Nyota huyo amechanga fedha hizo kupitia kwa mfuko wake wa Leonardo DiCaprio Foundation.
Dwayne “The Rock” Johnson |
kiasi alichochanga kinafananana cha Sandra Bullock aliyetoa kwa taasisi ya Msalaba Mwekundu kwa ajili ya kusaidia wahanga wa kimbunga na mafutiko katika miji ya Texas na Louisiana.
Mchekeshaji na mwigizaji Kevin Hart amechanga pauni milioni 39,000 (zaidi ya sh. milioni 112) huku DJ Khaled amechanga pauni19,000 (zaidi ya sh milioni 54 sawa na mcheza mieleka aliyegeuka kuwa mwigizaji Dwayne “The Rock” Johnson ambaye jarida la Forbes liliripoti aliingiza kiasi cha pauni milioni 50 (zaidi ya sh bilioni 144).
Familia ya Kardashian kwa ujuma mla imesema kwua itachangia pauni 387,000 (zaidi ya sh. bilioni 1 ambazo zitagawanywa kwa taasisi za Msalaba Mwekundu na Jeshi la Wokovu ambazo hutoa huduma za kijamii, huku Beyonce na taasisi yake ya BeyGood akisema atachanga.
Hadi leo imethibitiswa kuwa jumla la watu 31 wamefariki baada ya kutokea kwa kimbunga Ijumaa iliyopita, lakini idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka.
Comments
Post a Comment