Skip to main content

Simba yaunda kamati nzito kusaka mwekezaji



KAMATI ya Utendaji ya Klabu ya Simba, imetangaza kamati ya kusimamia mchakato wa kupata mwekezaji katika mfumo mpya wa umiliki wa klabu hiyo.

Wateule katika kamati hiyo ni Jaji Mstaafu Thomas Mihayo ambaye ni mwenyekiti wa kamati hiyo, wajumbe ni  Mussa Azzan 'Zungu' Abdulrazaq Badru, wakili Damas Ndumbaro na Yussuph Nassor.

Ofisa Habari wa  Simba, Haji Manara alisema kamati hiyo  imeundwa baada ya wanachama kufanya mkutano na kupitisha katiba yenye mapendekezo ya uamiliki wa timu Agosti 20 mwaka huu.

Taarifa kamili ya klabu hiyo ni kama ifuatavyo;


Comments