Skip to main content

Simba yashindwa kuishusha Mtibwa Ligi Kuu, pata msimamo na ratiba




SARE iliopata Simba kwa kutoka mabao  2-2 dhidi ya Mbao FC katika Uwanja wa CCM Kirumba imefanya iendelee kuwa nafasi ya pili kwenye msimamo,  na kumshinda kuishusha Mtibwa Sugar  yenye pointi tisa ilizopata wka kushinda michezo yake  yote mitatu ya kwanza.

Hapa chini ni msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania ulizo kwa sasa pamoja na ratiba ya mechi zijazo;

Ratiba Kuu wikiendi hii

Septemba 23,2017
Saa 10:00 Maji Maji FC  vs Kagera Sugar
Saa 10:00 Mbao  vs Tanzania Prisons
Saa 10:00 Ndanda FC  vs Lipuli FC
Saa 10:00 Ruvu Shooting  vs Njombe Mji FC
Saa 10:00 Stand United  vs Simba SC
Saa 01:00 Azam FC  vs Singida United
Septemba 24,2017
Saa10:00 Mwadui  vs Mbeya City FC
Saa 10:00 Yanga vs Mtibwa Sugar



Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara


TimuPWDLGFGAGDPTS
1Mtibwa Sugar FC33004139
2Simba SC4220122108
3Azam FC32102027
4Singida United32014316
5Mbeya City Council FC32012116
6Tanzania Prisons31204315
7Young Africans SC31203215
8Lipuli FC31202115
9Ndanda FC31111104
10Mbao FC410356-14
11Mwadui FC310225-33
12Majimaji FC302134-12
13Ruvu Shooting Stars302118-72
14Kagera Sugar FC301213-21
15Njombe Mji FC300314-30
16Stand United300303-30

Comments

Popular posts from this blog

Wachezaji waliosajiliwa na kuhama timu zote Ligi Kuu England

WAKATI dirisha la usajili Ulaya 2017 lililoanza Juni 9 lNdaniafungwa leo saa sita usiku, ifuatayo ni orodha ya wachezaji walioingia na kutoka katika timu 20 za Ligi Kuu England . Kama wewe ni shabiki wa moja ya timu hizo angalia orodha hii ujue wachezaji walioingia au kuondoka. ARSENAL Ndani Alexandre Lacazette - Lyon (ada haijatajwa), Sead Kolasac - Schalke(bure). Nje Wojciech Szczesny - Juventus, pauni 14m, Gabriel Paulista - Valencia, pauni 10m, Kieran Gibbs - West Brom, pauni 7m, Yaya Sanogo - ameachwa, Stefan O'Connor - ameachwa, Kristopher da Graca - ameachwa,Kostas Pileas - ameachwa, Takuma Asano - Stuttgart- mkopo Chris Willock - Benfica, (ada haijatajwa), Glen Kamara - ameachwa, Marc Bola - Bristol Rovers- mkopo Carl Jenkson - Birmgham- mkopo Cohen Bramall - Birmgham- mkopo Emiliano Martiez - Getafe-mkopo, Stephy Mavididi - Preston-mkopo, Ismael Bennacer - Empoli, (ada haijatajwa), Jon Toral - Hull, (ada haijatajwa). BOURNEMOUTH Ndani Asmir Begovic - Ch...

Zidane ajuta kumtwanga kichwa Materazzi

Picha mbili tofauti zinazomwonesha  Zinedine Zidane alipofanya tukio la kumpiga kichwa Marco Materazzi . MADRID, Hispania KOCHA wa timu ya  Real Madrid Zinedine Zidane amekumbuka tukio alilofanya kwa kumpiga kichwa aliyekuwa mlinzi wa timu ya taifa ya Italia,  Marco Materazzi katika kipindi chake cha mwisho cha uchezaji akisema kuwa hajisikii kujivuna kutokana na tukio hilo. Zidane alifanya tukio hilo wakati akiichezea Real Madrid, wakati akiitumikia Ufaransa katika mechi ya fainali ya kombe la Dunia 2006 ambayo iliisha kwa matokeo ya sare ya bao 1-1 kabla ya Azzuri kushinda kwa mikwaju ya penalti . Zidane ambaye alifanya mahojiano na kituo cha televisheni cha Ufaransa katika kipindi cha Telefoot na kuoneshwa kwenye runinga, alisema anajutia tukio hilo alilofanya katika siku za mwisho kama mchezaji. "Sijisikii kujivunia," Zidane alisema.  Zinedine Zidane akioneshwa kadi nyekundu kutokana na kumpiga kichwa  Marco Materazzi. "Sijivunii tuk...

Wazazi 'wamsusa' mpenzi wa Ronaldo mjamzito

Cristiano Ronaldo akiwa na Georgina Rodriguez na mtoto wao Ronaldo Jr MADRID, Hispania MPENZI wa Cristiano Ronaldo, Georgina Rodriguez anadaiwa kutengwa na wazazi wake. Mrembo huyo mwenye  umri wa miaka 23 anatarajia kujifungua mtoto wa kike Oktoba mwaka huu na kuongeza familia familia yake na Ronaldo inayokuwa kwa  haraka,  lakini kuna taarifa mama na baba yake hawajihusishi katika ujauzito huo. Kwa mujibu wa gazeti la Marca la Hispania, Rodriguez hamekuwan hana uhusiano mzuri na wazazi wake. Limeripoti kuwa kutokana na baba yeke Jorge Eduardo Rodriguez kuishi Argentina, na mama yake, Ana Maria Hernandez yuko nchini Italia, anamaliza kipindi chake cha ujauzito bila ya kupata sapoti. Mwanamitindo huyo mwenye damu mchanganyiko ya Kihispania na ki-Argentina mzaliwa wa Jaca kaskazini mashariki mwa Hispania, amebakia  katika nchi aliyozaliwa na sasa yuko na nyota wa Real Madrid ,anarajia kupata mtoto ambaye atakuwa wa nne kwa Ronaldo. Mtoto atakayemza...