![]() |
| Rio Ferdinand (kushoto) akiwa ameshika mikanda ya ubingwa wa uzito wa juu wa WBA, IBF na IBO ya Anthony Joshua |
MWANASOKA wa zamani wa England na Manchester United, Rio Ferdinand amejiunga na ngumi za kulipwa na kufuata nyayo za mcheza kriketi wa zamani wa England , Andrew Flintoff.
![]() |
| Rio Ferdinand |
Ferdinand alistaafu soka mwaka 2015 baada ya kuichezea unired kwa mafanikio makubwa.
Leo taarifa rasmi kutambulishwa rasmi kama kama bondia inatarajwia kutolewa.
Andrew Flintoff baada ya kustaafu kriketi na kujiunga na ngumi alimtwanga Richard Dawson katika pambano la raundi nne nne 2012.
Amesema ataendelea kupigana lakini hatarejea katika soka, amekuwa akinolewa na Shane McGuigan.


Comments
Post a Comment