![]() |
| Thomas Muller (watatu kulia mstari wa nyuma) akigongesha glasi wakati wa sherihe yake ya kutimiza umri wa miaka 28. |
MUNICH, Ujerumani
WACHEZAJI wa timu ya Bayern Munich wamefanya sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa mchezaji mwanzao, Thomas Muller aliyefanya sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa usiku wa kuamkia leo kwa kura na kunywa.
Sherehe hiyo ilinoga zaidi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya timu ya Anderlecht ya Ubelgiji katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa wa Kundi B.
mchezaji pekee ambaye alionekana hakuwa na glasi ya bia ni
Franck Ribery ambaye alifanya hivyo kutoka na imani yake ya Uislamu.
Muller amesherehekea kutimiza umri wa miaka miaka 28.
Unywaji bia wakati wa kufurahi au mwingine ni utamaduni wa watu wa Bavaria yalipo makao makuu ya timu ya Bayern Munich.

Comments
Post a Comment