![]() |
| Leroy Sane akishangilia baada ya kuifungia Man City moja ya bao dhidi ya Liverpool . |
London, Uingereza
BAADA ya kuifunga Arsenal mabao 4-0 katika mchezo wao uliopita wa Ligi Kuu ya England, Liverpool imepata mbabe wake kwa kufungwa mabao 5-0 dhidi ya
Manchester City katika Uwanja wa Etihad.
![]() |
| Mshambuliaji wa Liverpool, Sadio Mane akimchea faulo mlinda mlango wa City, Ederson , faulo iliyosababisha kutolewa kwa kadi nyekundu na Enderson kushindwa kuendelea na pambano. |
Katika mchezo huo uliopigwam alasiri leo, City ilipata mabao kupitiakwa Gabriel Jesus na Leroy Sane huku moja likifungwa na Sergio Aguero.
katika mchezo huo Liverpool ilicheza na wachezaji 10 kuanzia dakika ya 37 baada ya Sadio Mane kuoneshwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu mlinda mlango wa City, Ederson ambaye naye hakuweza kuendelea na mchezo.


Comments
Post a Comment