Skip to main content

Harusi ya bondia Kimweri, mkewe yafana Dar


Bondia Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anayefanya shughuli zake nchini Australia (kulia) na mkewe Lawaridi wakiwawameshika zawadi ya saa yenye picha yao wakati wa sherehe yao ya harusi mwishoni mwa wiki kwenye ukumbi wa Vijana Kinondoni.
Bondia Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'katikati akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri, kushoto ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa sherehe ya ndoa yao .

 Bondia Omari Kimweri 'Lion Boy  akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri .





Wageni wakicheza muziki.





 Omari Kimweri 'Lion Boy ' na mkewe Lawaridi Kimweri wakichukua chakula .

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na msanii wa kundi la Segere Siza Mazongela wakati wa Sherehe ya bondia Omari Kimweri


Bondia Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anayefanya shughuli zake  Australia (kulia) akiteta na na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki  ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es Salaam. (PICHA  NA SUPER D BOXING NEWS)

Mwandishi  
Wetu

 BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anayefanya shughuli zake nchini Australia ameachana na ukapera na kumwoa, Lawaridi Kimweri huku sherehe ikifanyika Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Vijana . 

Akizungumza katika sherehe hiyo, Kimweri alisema ameamua kuoa ili kujenga familia yake , tofauti na watanzania wengine wanaokwenda Ulaya ambao huwa hawakumbuki nyumbani baada ya kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na wanzungu . 

Ameamua kuoa nyumbani kwa kuwa amezaliwa Tanzania na kule anafanya kazi tu, hivyo amerudi nyumbani kuoa ili kuanzisha familia yake, kwani Mwafrika akioa mzungu mtoto huwa siyo wake huwa na rangi ya kizungu.


Kimweri aliongeza amekuja nchini na ujumbe wa watu wannekwa ajili ya arusi yake pamoja na kufanya utalii katika vivutio mbalimbali ambapo watatembelea mbunga za wanyama ya Serengeti, Mikumi pamoja na Zanzibar .

Bondia  huyo kwa sasa amejikita katika kufanikisha Tanzania inakuwa juu katika mchezo wa masumbwi kupitia wafadhili wake pamoja na kazi anazozifanya akiwa huku, ameshaleta  vifaa mbalimbali vya mchezo wa masumbwi kwa ajili ya kuwasaidia mabondia wa nchini

Comments

Popular posts from this blog

Wachezaji waliosajiliwa na kuhama timu zote Ligi Kuu England

WAKATI dirisha la usajili Ulaya 2017 lililoanza Juni 9 lNdaniafungwa leo saa sita usiku, ifuatayo ni orodha ya wachezaji walioingia na kutoka katika timu 20 za Ligi Kuu England . Kama wewe ni shabiki wa moja ya timu hizo angalia orodha hii ujue wachezaji walioingia au kuondoka. ARSENAL Ndani Alexandre Lacazette - Lyon (ada haijatajwa), Sead Kolasac - Schalke(bure). Nje Wojciech Szczesny - Juventus, pauni 14m, Gabriel Paulista - Valencia, pauni 10m, Kieran Gibbs - West Brom, pauni 7m, Yaya Sanogo - ameachwa, Stefan O'Connor - ameachwa, Kristopher da Graca - ameachwa,Kostas Pileas - ameachwa, Takuma Asano - Stuttgart- mkopo Chris Willock - Benfica, (ada haijatajwa), Glen Kamara - ameachwa, Marc Bola - Bristol Rovers- mkopo Carl Jenkson - Birmgham- mkopo Cohen Bramall - Birmgham- mkopo Emiliano Martiez - Getafe-mkopo, Stephy Mavididi - Preston-mkopo, Ismael Bennacer - Empoli, (ada haijatajwa), Jon Toral - Hull, (ada haijatajwa). BOURNEMOUTH Ndani Asmir Begovic - Ch...

Zidane ajuta kumtwanga kichwa Materazzi

Picha mbili tofauti zinazomwonesha  Zinedine Zidane alipofanya tukio la kumpiga kichwa Marco Materazzi . MADRID, Hispania KOCHA wa timu ya  Real Madrid Zinedine Zidane amekumbuka tukio alilofanya kwa kumpiga kichwa aliyekuwa mlinzi wa timu ya taifa ya Italia,  Marco Materazzi katika kipindi chake cha mwisho cha uchezaji akisema kuwa hajisikii kujivuna kutokana na tukio hilo. Zidane alifanya tukio hilo wakati akiichezea Real Madrid, wakati akiitumikia Ufaransa katika mechi ya fainali ya kombe la Dunia 2006 ambayo iliisha kwa matokeo ya sare ya bao 1-1 kabla ya Azzuri kushinda kwa mikwaju ya penalti . Zidane ambaye alifanya mahojiano na kituo cha televisheni cha Ufaransa katika kipindi cha Telefoot na kuoneshwa kwenye runinga, alisema anajutia tukio hilo alilofanya katika siku za mwisho kama mchezaji. "Sijisikii kujivunia," Zidane alisema.  Zinedine Zidane akioneshwa kadi nyekundu kutokana na kumpiga kichwa  Marco Materazzi. "Sijivunii tuk...

Wazazi 'wamsusa' mpenzi wa Ronaldo mjamzito

Cristiano Ronaldo akiwa na Georgina Rodriguez na mtoto wao Ronaldo Jr MADRID, Hispania MPENZI wa Cristiano Ronaldo, Georgina Rodriguez anadaiwa kutengwa na wazazi wake. Mrembo huyo mwenye  umri wa miaka 23 anatarajia kujifungua mtoto wa kike Oktoba mwaka huu na kuongeza familia familia yake na Ronaldo inayokuwa kwa  haraka,  lakini kuna taarifa mama na baba yake hawajihusishi katika ujauzito huo. Kwa mujibu wa gazeti la Marca la Hispania, Rodriguez hamekuwan hana uhusiano mzuri na wazazi wake. Limeripoti kuwa kutokana na baba yeke Jorge Eduardo Rodriguez kuishi Argentina, na mama yake, Ana Maria Hernandez yuko nchini Italia, anamaliza kipindi chake cha ujauzito bila ya kupata sapoti. Mwanamitindo huyo mwenye damu mchanganyiko ya Kihispania na ki-Argentina mzaliwa wa Jaca kaskazini mashariki mwa Hispania, amebakia  katika nchi aliyozaliwa na sasa yuko na nyota wa Real Madrid ,anarajia kupata mtoto ambaye atakuwa wa nne kwa Ronaldo. Mtoto atakayemza...