Skip to main content

England yanusa Kombe la Dunia 2018, pata msimamo Ulaya

Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi England dhidi ya Slovakia usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Wembeey.


TIMU ya England imaanza kunusa dainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi baada ya kutoka nyuma na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Slovakia 2-1 .

England sasa ina pointi tano zaidi ya Slovakia, iko juu itakuwa imekata tiketi ya kucheza kombe la Dunia kama haitafungwa katika mechi mbili zilizosalia dhidi ya Slovenia na Lithuania

Slovakia iliwachukuwa dakika tatu tu kupata bao lao katika Uwanja wa Wembley, baada ya Stanislav Lobotka kupora mpira kwa Marcus Rashford na kugongena Adam Nemec na kumfunga mlinda mlango wa England Joe Hart.

Bao la kusawazisha la England lilifungwa na  Eric Dier dakika ya 37 alipounganisha mpira wa kona uliopigwa na Rashford na umkampita mlinda mlango Martin Dubravka.

Mshambuliaji  Rashford alipata pasi kutoka kwa Jordan Henderson kabla ya kuwapita walinzi na kufunga bao la ushindi kwa England.

Matokeo ya mechi nyingine yalikuwa;
Ujerumani 6 Norway 0
Irelandn kask 2 Czech
Scotland 2 Malta 0
Azerbaijan 5 San Marino1
Armenia 1 Denmark 4
Montenegro 1 Romania 0
Poland 3 Kazakhstan 0
Slovenia 4 Lithuania 0

Msimamo Makundi kwa nchi za Ulaya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2018

KUNDI  A

NaTimuPWDLGFGAGDPts
1Ufaransa85211551017
2Sweden85121871116
3Uholanzi84131611513
4Bulgaria84041317-412
5Luxembourg8125717-105
6Belarus8125416-125

KUNDI  B

NaTimu
PWDLGFGAGDPts
1Uswisi88001831524
2Portugal87012842421
3Hungary8314119210
4Faroe Islands8224415-118
5Andorra8116217-154
6Latvia8107318-153

KUNDI  C

NaTimu
PWDLGFGAGDPts
1Ujerumani88003523324
2Ireland kaskazini86111621419
3Azerbaijan8314812-410
4Jamhuri ya Czech 823310919
5Norway8215816-87
6San Marino8008238-360

KUNDI  D

NaTimu

PWDLGFGAGDPts
1Serbia7430167915
2Jamhuri ya Ireland734095413
3Wales7250105511
4Austria72239908
5Georgia7043711-44
6Moldova7025418-142

KUNDI  E

NaTimu
PWDLGFGAGDPts
1Poland86111811719
2Montenegro85121871116
3Denmark85121871116
4Romania82338809
5Armenia8206819-116
6Kazakhstan8026422-182

KUNDI  F

NaTimu
PWDLGFGAGDPts
1England86201631320
2Slovakia8503146815
3Slovenia8422104614
4Scotland84221410414
5Lithuania8125618-125
6Malta8008221-190

KUNDI  G

NaTimu
PWDLGFGAGDPts
1Hispania76102432119
2Italia75111871116
3Albania740398112
4Israel7304913-49
5Macedonia FYR7205913-46
6Liechtenstein7007126-250

KUNDI H

NaTimu
PWDLGFGAGDPts
1Belgium87103533222
2Bosnia-Herzegovina84221981114
3Greece8341115613
4Cyprus8314812-410
5Estonia8224617-118
6Gibraltar8008337-340

KUNDI I

NaTimu
PWDLGFGAGDPts
1Croatia75111221016
2Ukraine7421115614
3Iceland741297213
4Uturuki7322118311
5Finland7115510-54
6Kosovo7016319-161

Comments

Popular posts from this blog

Wachezaji waliosajiliwa na kuhama timu zote Ligi Kuu England

WAKATI dirisha la usajili Ulaya 2017 lililoanza Juni 9 lNdaniafungwa leo saa sita usiku, ifuatayo ni orodha ya wachezaji walioingia na kutoka katika timu 20 za Ligi Kuu England . Kama wewe ni shabiki wa moja ya timu hizo angalia orodha hii ujue wachezaji walioingia au kuondoka. ARSENAL Ndani Alexandre Lacazette - Lyon (ada haijatajwa), Sead Kolasac - Schalke(bure). Nje Wojciech Szczesny - Juventus, pauni 14m, Gabriel Paulista - Valencia, pauni 10m, Kieran Gibbs - West Brom, pauni 7m, Yaya Sanogo - ameachwa, Stefan O'Connor - ameachwa, Kristopher da Graca - ameachwa,Kostas Pileas - ameachwa, Takuma Asano - Stuttgart- mkopo Chris Willock - Benfica, (ada haijatajwa), Glen Kamara - ameachwa, Marc Bola - Bristol Rovers- mkopo Carl Jenkson - Birmgham- mkopo Cohen Bramall - Birmgham- mkopo Emiliano Martiez - Getafe-mkopo, Stephy Mavididi - Preston-mkopo, Ismael Bennacer - Empoli, (ada haijatajwa), Jon Toral - Hull, (ada haijatajwa). BOURNEMOUTH Ndani Asmir Begovic - Ch...

Zidane ajuta kumtwanga kichwa Materazzi

Picha mbili tofauti zinazomwonesha  Zinedine Zidane alipofanya tukio la kumpiga kichwa Marco Materazzi . MADRID, Hispania KOCHA wa timu ya  Real Madrid Zinedine Zidane amekumbuka tukio alilofanya kwa kumpiga kichwa aliyekuwa mlinzi wa timu ya taifa ya Italia,  Marco Materazzi katika kipindi chake cha mwisho cha uchezaji akisema kuwa hajisikii kujivuna kutokana na tukio hilo. Zidane alifanya tukio hilo wakati akiichezea Real Madrid, wakati akiitumikia Ufaransa katika mechi ya fainali ya kombe la Dunia 2006 ambayo iliisha kwa matokeo ya sare ya bao 1-1 kabla ya Azzuri kushinda kwa mikwaju ya penalti . Zidane ambaye alifanya mahojiano na kituo cha televisheni cha Ufaransa katika kipindi cha Telefoot na kuoneshwa kwenye runinga, alisema anajutia tukio hilo alilofanya katika siku za mwisho kama mchezaji. "Sijisikii kujivunia," Zidane alisema.  Zinedine Zidane akioneshwa kadi nyekundu kutokana na kumpiga kichwa  Marco Materazzi. "Sijivunii tuk...

Wazazi 'wamsusa' mpenzi wa Ronaldo mjamzito

Cristiano Ronaldo akiwa na Georgina Rodriguez na mtoto wao Ronaldo Jr MADRID, Hispania MPENZI wa Cristiano Ronaldo, Georgina Rodriguez anadaiwa kutengwa na wazazi wake. Mrembo huyo mwenye  umri wa miaka 23 anatarajia kujifungua mtoto wa kike Oktoba mwaka huu na kuongeza familia familia yake na Ronaldo inayokuwa kwa  haraka,  lakini kuna taarifa mama na baba yake hawajihusishi katika ujauzito huo. Kwa mujibu wa gazeti la Marca la Hispania, Rodriguez hamekuwan hana uhusiano mzuri na wazazi wake. Limeripoti kuwa kutokana na baba yeke Jorge Eduardo Rodriguez kuishi Argentina, na mama yake, Ana Maria Hernandez yuko nchini Italia, anamaliza kipindi chake cha ujauzito bila ya kupata sapoti. Mwanamitindo huyo mwenye damu mchanganyiko ya Kihispania na ki-Argentina mzaliwa wa Jaca kaskazini mashariki mwa Hispania, amebakia  katika nchi aliyozaliwa na sasa yuko na nyota wa Real Madrid ,anarajia kupata mtoto ambaye atakuwa wa nne kwa Ronaldo. Mtoto atakayemza...