Kocha wa timu ya Simba Joseph Omog ametoa kikosi kitakachoanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Azam utakaopigwa leo kuanzia saa 10 jioni katika Uwanja wa Azam Complex ulipo Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Azam inapambana na Simba katika mchezo wa pili wa Ligi Kuu, huku ikiwa imetoka kushinda bao 1-0 dhidi ya Ndanda huku Simba ikiichapa Ruvu Shooting mabao 7-0.
Mchezo huo unavuta hisia kwa kuwa kwa kwua baada ya Debi ya Simba na Yanga, nyingi ni Simba dhidi ya Azam na Yanga dhidi ya Azam.
Wafuatao ni wachezaji wa Simba watakaoanza na wa benchi dhidi ya Azam leo.
1.AISHI MANULA
2.ALLY SHOMARY
3.ERASTO NYONI
4.SALUM MBONDE
5.METHOD MWANJALE
6.JAMES KOTEI
7.HARUNA NIYONZIMA
8.MZAMIRI YASSIN
9.JOHN BOCCO
10.NICHOLAS GYAN
11.SHIZA KICHUYA
Akiba
1.EMMANUEL MSEJA
2.YUSUPH MLIPILI
3.MOHAMED HUSSEIN
4.MOHAMED IBRAHIM
5.LAUDIT MAVUGO
6.SAID NDEMLA
7.MWINYI KAZIMOTO# JJ

Comments
Post a Comment