![]() |
| Miriam Jolwa maarufu kwa jina la 'Jini Kabula’ mwaka 2015 |
Kutoka na hali yake ya kiafya kutokuwa nzuri channel ya mtandaoni ya Global TV Online imeanzisha kapeni maarumu kuhamasisha watu kujitolea kwa hali na mali, kuchangia fedha ili kusaidia matibabu na huduma nyingine.
![]() |
Miriam Jolwa maarufu kwa jina la 'Jini Kabula’ mwonekano wake wa sasa. |
Moja ya tatizo analokabiliwa nalo ni hali ya kuchanganyikiwa.
Mashabiki ndugu jamaa na marafiki wanaoguswa na tatizo lake wanaweza kutuma msaada wa fedha kupiti namba 0712 56 53 69, ambapo jina litasomeka Daynes Jolwa ambaye ni dada wa Jini Kabula.
.


Comments
Post a Comment