![]() |
| Said Nduda |
MLINDA mlango namba mbili wa Simba, Said Mohamed Nduda ameumia goti, atasafirishwa wiki hiikwenda India ili kupata matibabu ya kina na kupona.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa njia ya barua na Ofisa Habari wa Simba Haji, Manara Nduda aliumia mazoezini wakati timu yake ilipokuwa ikijindaa kwa mchezo wa ngao ya Jamii dhidi ya Yanga ulioisha kwa wao kushinda kwa mikwaju ya penalti 5-4.
![]() |
| Wachezaji wa Simba wakipasha miili moto. |
Pia taarifa hiyo imesema kuwa wachezaji John Bocco na Haruna Niyonzima aliyeumia katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Simba na Ruvu Shooting walioshinda mabao 7-0 wako fiti na wameanza mazoezi leo na wachezaji wengine. huku Shomary kapombe aliyeumia katika timu ya taifa, Taifa Stars naye anatarajwia kurejea uwanjani karibuni.
Taarifa rasmo ya klabu hiyo ni kama ifuatavyo,



Comments
Post a Comment