![]() |
| Hereith Paul |
Mwandishi wetu
MWANAMITINDO wa Tanzania, Hereith Paul amepata shavu kwa kuchangulia kushiriki katika onesho la mitindo ya mavazi, Victoria’s Secret’s annual Fashion yanayofanyika kila mwaka mara moja.
Hii ni mara ya pili kwa staa huyo mwenye umri wa miaka 21 anayeishi Marekani tangu alipokuwea mdogo kushiriki katika maonesho hayo ambayo washiriki wake hulipwa dau nono la fedha, mara ya kwanza mwak jana aliripotiwa kulipwa kiasi cha sh. bilioni moja.
Mbali ya maonesho hayo amewahi kushiriki maonesho mengine maarufu kama ya Diane von Furstenberg, Lacoste, Tom Ford, Calvin Klein, Armani, Cavalli na 3.1 Phillip Lim.
Pia picha na habari zake zimewaji kutumia katika majarida ya mitindo ambao wanaobahatika kutumiwa hupata mkwanja wa maana.
Washiriki wamaonesho hayo wanagawanywa katika kategoria mbili ya Malaika na Wanamitindo, hutoka nchi mbalimbali.
Washiriki 57 tayari wamethibitishwa kwa maonesho ya mwaka huu ni ambayo yatafanyika katikati ya Novemba ni;
Katagoria ya MalaikaAdriana Lima,Alessandra Ambrosio,Behati Prinsloo,Candice Swanepoel,Lily Aldridge, Elsa Hosk,Jasmine Tookes,Martha Hunt,Lais Ribeiro,Sara Sampaio,Romee Strijd,Stella Maxwell,Taylor Hill,Josephine Skriver
Wanamitindo
Megan Williams,Sanne Vloet , Bruna LĂrio Dilone, Frida Aasen, Leila Nda, Devon Windsor, Victoria Lee, Vanessa Moody, Grace Elizabeth, Maggie Laine, Nadine Leopold, Leomie Anderson, Maria Borges, Daniela Braga, Gizele Oliveira, Aiden Curtis, Alexina Graham, Zuri Tibby na Julia Belyakova.
Wengine ni Estelle Chen, Grace Bol, Kate Grigorieva, Mayowa Nicholas, Amilna Estevao, Alanna Arrington, Barbara Fialho, Megan Williams, Daria Khlystun, Alecia Morais, Georgia Fowler, Blanca Padilla , *Hereith Paul, Roosmarijn De Kok, Frida Aasen, Sui He,Lui Wen, Lameka Fox, Xiao Wen Ju, Cindy Bruna, Irina Sharipova, Jourdana Phillips, Shu Pei, Samile Bermannelli, Xin Xie na Ming Xi.

Comments
Post a Comment