FLOYD Mayweather wakati akijiandaa kwa pambano lake dhidi ya Conor McGregor mwishoni mwa wiki, pia ameonesha saa alizonunua kwa mamilioni ya fedha akionesha kama anamlingishia mpinzani wake.
Bingwa huyo wa dunia wa mikanda mitano tofauti amesema saa hizo zimetengenezwa na kukwekwa vito vinavyouzwa kwa bei ya juu kama dhahabu, emerald na rubi.
101 ambaye jarida la Forbes linasema kuwa anautajiri unaofikia pauni milioni
264, alisema kwua alitumia fedha nyingi kununua vitu anavyopenda kabla ya kuanza ziara ya kutangaza pambano hao hilo litakalofanyika Agosti 27 mwaka huu.
Miongoni mwa saa alizoonesha ni yenye thmani ya pauni 303,000 (zaidi ya sh milioni 869.7) nyeupe aina ya Patek Philippe, nyingi yenye thamani ya pauni 310,000 (zaidi ya sh. 890 'zawadi' kutoka
kutokana MGM Grand na nyingine ya pauni 101,000 aliyonunua Dubai .
Alitoa sababu ya kununua kila saa na kusema moja ameibiwa.
Alisema “Nimenunua kwa mara tatu au nne. Ninazo tatu kwa sasa, moja imeibwa.'' alisema.
Mayweather ni mtu anyependa sifa, kwenye moja ya ziara zake London katika mkutano na waandishi wa habari alimwamb ia McGregor amvaa saa ya dola milioni 1.4


Comments
Post a Comment