![]() |
| Waynen Rooney aklishangilia baada ya kufunga bao la Everton |
LONDON, Uingereza
MSHAMBULIAJI Raheem Sterling ameinusuru timu yake ya Manchester City kupata kipigo kutoka kwa Everton kwa kufunga bao la kusawazisha dakika za mwisho, baada ya Wayne Rooney kufunga bao la kuongoza.
Katika mchezo, Rooney alifunga bao la kuongoza dakika ya 34 na kuweka rekodi ya kufunga bao la 200 katika Ligi Kuu England, timu zote zilimaliza mchezo zikiwa na wachezaji 10.
![]() |
| Raheem Sterling akipiga shuti na kufunga bao la kusawazisha kwa Man City. |
Kwa matokeo hayo Man City sasa ina pointi nne, ikishinda mchezo mmoja na kutoka sare mmoja, iko katika nafasi ya nne kwenye msimamo huku Everton nayo ikiwa na pointi ikiwa na pointi nne na kuwa nafasi ya nane, ikizidiwa uwiano wa mabao ya kufunga na kufungwa.
Msimamo Ligi Kuu England ulivyo kwa sasa:
Na Timu P W D L GD PTS
1 Man United 2 2 0 0 8 6
2 Huddersfield 2 2 0 0 4 6
3 West Bromwich 2 2 0 0 2 6
4 WatfordWatford 2 1 1 0 2 4
5 Manchester City 2 1 1 0 2 4
6 Liverpool 2 1 1 0 1 4
7 Southampton 2 1 1 0 1 4
8 Everton 2 1 1 0 1 4
9 Leicester City 2 1 0 1 1 3
10 Tottenham 2 1 0 1 1 3
11 Arsenal 2 1 0 1 0 3
12 Chelsea 2 1 0 1 0 3
13 Burnley 2 1 0 1 0 3
14 Stoke City 2 1 0 1 0 3
15 Swansea City 2 0 1 1 -4 1
16 Bournemouth 2 0 0 2 -3 0
17 Newcastle Utd 2 0 0 2 -3 0
18 Brighton 2 0 0 2 -4 0
19 Crystal Palace 2 0 0 2 -4 0
20 West Ham Utd 2 0 0 2 -5 0


Comments
Post a Comment