![]() |
| Zlatan Ibrahimovic |
TIMU ya Manchester United imethibitisha kumsaini tena, Zlatan Ibrahimovic huku mwenyewe akizipiga mkwara timu pinzani alisema ' Ninarejea kumalizia nilichoanza''
Ibrahimovic atavaa jezi namba 10 tofaunti na msimu uliopita alipokuwa akivaa jezi namba 9. Jezi hiyo kwa sasa anavaa mchezaji mpya wa tyimu hiyo Romelu Lukaku aliyetokea Everton.
![]() |
| Zlatan Ibrahimovic akiwa amevalia jezi yake ya sasa. |
Zlatan aliuwa nje ya uwanja Tangu alipoumia goti Aprili mwaka jana na kufanyiwa upasuaji.
Kocha Jose Mourinho amesema Ibrahimovic anastahili kuaminiwa na kusajiliwa kutokna na uchezaji wake msimu uliopita.
Katika msimu ulipita mshambuliaji huyo kutoka Sweden alicheza mechi 46 na kufunga mabao 28 .


Comments
Post a Comment