![]() |
ROMA, Italia
PAULO Dybala amevaa jezi namba 10 kwa mara ya kwanza kwenye timu ya Juventus na kuungana na wachezaji wengine nypta waliokuwa wakivaa jezi hiyo.
Mabingwa hao wa Serie A walitangaza Jumatano iliyopita kuwa kuwa nyota huyo raia wa Argentina hatavaa jezi namba 21, ambayo iliwahi kubaliwa na Paul Pogba kabla ya kuondoka mwaka mmoja uliopita 12.
Wachezaji wengine waliowahi kuvaa jezi namba 10 ni Zinedine Zidane, Andrea Pirlo, Alessandro Del Piero na Roberto Baggio.

Comments
Post a Comment