MASHINDANO ndondo yanayoendelea Dar es Salaam yamesaidia kumrejesha kiungo mkongwe Athumani Iddi ‘Chuji’ katika Ligi Kuu Bara, akijiunga na Ndanda FC ya Mtwara.
Chuji amesaini mwaka mmoja Ndanda ilinusurika kushuka Ligi Kuu Bara.
Chuzi aliyewahi kuicheze Yanga na Simba, katika michuano ya Ndondo aliichezea timu ya Faru Jeuri, katika Ligi Kuu timu yake ya mwisho kuichezea ilikuwa ni Mwadui FC ya Shinyanga a.
Comments
Post a Comment